Dini
IQNA - Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na baadhi ya Wakristo wa Iran Jumanne jioni.
Habari ID: 3479953 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/25
Ujumbe
IQNA-Rais wa Iran Masoud Pezeshkian, katika ujumbe wake kwa Papa Francis, ametoa wito wa kumtaka atumie ofisi yake kusaidia kukomesha "uvamizi usio wa kibinadamu" wa utawala wa Israel dhidi ya watu wa Gaza na Lebanon, na kuanzisha usitishaji vita ili kuzuia kuenea kwa vita katika eneo la Asia Magharibi.
Habari ID: 3479785 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/21
Rais wa Iran
IQNA - Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesema haikubaliki kwa wafuasi wa dini za Mwenyezi Mungu kubaki kutojali ukandamizaji na mateso ya wanadamu ambayo yameenea duniani kote.
Habari ID: 3479488 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/25
Siasa
IQNA-Daktari Masoud Pezeshkian leo alasiri amekula kiapo kama rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mbele ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge), na viongozi kutoka nchi zaidi ya 88 waliohudhuria sherehe za kuapishwa kwake.
Habari ID: 3479203 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/30
Siasa za Nje
Rais mteule wa Iran Jamhuri ya Kiislamu ya Masoud Pezeshkian amechapisha makala, akielezea vipaumbele vya utawala wake katika sera za kigeni.
Habari ID: 3479116 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/13
Massoud Pezeshkian ni Nani?
Rais mteule wa Iran Daktari Massoud Pezeshkian alifanya ziara katika kaburi la Imam Khomeini (RA) ili kufufua utiifu wake na itikadi za marehemu muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3479086 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/08
Ujumbe
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuwa, wale wote wanaodai kwamba ni wafuasi wa Nabii Issa Masih (as) hawapaswi kuiunga mkono Israel na mauaji yake dhidi ya watoto huko katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478091 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/25
Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu za pongezi viongozi wa nchi za Kiislamu kwa kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476751 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/24
Kumbukizi ya Shahidi Soleimani
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Wamarekani wanapaswa kujua kwamba watu wa Iran hawataiacha damu ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani iende burE, na bila shaka watalipiza kisasi kwa damu ya shahidi huyo wa ngazi ya juu.
Habari ID: 3476349 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/03
Uislamu na Ukristo
TEHRAN (IQNA)- Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za pongezi kwa mnasaba wa siku ya kuzaliwa Nabii Isa bin Maryam-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-na kuwadia mwaka mpya wa Miladia.
Habari ID: 3476309 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/26
Njama dhidi ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya Rais Joe Biden wa Marekani ya kuunga mkono ghasia na machafuko nchini Iran na kusema, "Rais wa Marekani amedai kwamba "tuna mipango ya kuikomboa Iran"; hata hivyo anapaswa kuelewa kwamba Iran ilikombolewa miaka 43 iliyopita na haitatekwa tena na Marekani wala kuwa gombe la kukamuliwa maziwa."
Habari ID: 3476031 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/04
Rais Rouhani wa Iran
Rais Hassan Rouhani wa Iran amelaani hatua ya Saudia kuwazuia Wairani kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu na kusema hatua hiyo ni kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3470348 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/31